Karibu katika blogi hii ili tuweze kushare chochote ktk JINA LA YESU.
lengo kubwa ni kubadilisha maaisha kama Mkristo (maisha ya kufanana na
YESU) kama asemavyo katiak Wakolosai 3:10. lazima utu wetu uwe tofauti
na watu ambao hawamjui Mungu. Karibu kwa mchango wako.
Mitume 11 aliowaacha YESU KRISTO wakti anapaa walitosha kuupindua ulimwengu wote (Matendo 17:6) ndiyo sababu ya sisi kufikiwa na NEEMA hii ya injili. Lakini kumbuka hili hawakuweza kuupindua uliwengu kwa nguvu zao, Matendo 1:4 anawaagiza wasitoke mpakaa wamepokea ile ahadi. je ni ahadi gan hiyo? Matendo 1:8 inatueleza kwa habari ya hiyo ahadi anasema ......Lakini mtapoeka nguvu, akiisha kuwaajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashaidi wangu katika Yerusalemu na katika uyahudi wote, na Samaria na hata mwisho wa nchi. Ahadi hii inakamilika katika Matendo 2:1-4. hapo ndipo kitovu cha mabadiliko ya kuubadilisha ulimwengu ambapo Mtume Petro anasimama kwa ujasiri ya kuinena kweli ya Kristo bila woga wowote na watu zaidi ya 3000 wakabadilisha maisha yao (Matendo 2:37-42).
kwa hiyo ni lengo la blog hii ni kuhakikisha kila aliyeokoka anayaupindua ulimwengu kwa kuhubiri injili sahihi ya YESU KRISTO ambao ni uweza wa Mungu ulitaeo wokovu bila haya kwa maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu (Warumi 1:16), kwa msaada wa Roho Mtakatifu ambaye ndiye nguvu yetu.
Nakukaribisha sana katika kazi hii ya kubadili maisha yetu (kuishi kama YESU alipokuwa duniani) na kuubadili ulimwengu kwa kuyaiga maisha yetu ambayo ni mfano wa maisha ya YESU KRISTO
Karibu katika blogi hii ili tuweze kushare chochote ktk JINA LA YESU. lengo kubwa ni kubadilisha maaisha kama Mkristo (maisha ya kufanana na YESU) kama asemavyo katiak Wakolosai 3:10. lazima utu wetu uwe tofauti na watu ambao hawamjui Mungu. Karibu kwa mchango wako
ReplyDeleteTuko pamoja ubarikiwe
DeleteAmeeen.
ReplyDeleteTutatenda makuu kwa uweza wa Mungu.
Ameeen.
ReplyDeleteTutatenda makuu kwa uweza wa Mungu.